Ufafanuzi wa uchusa katika Kiswahili

uchusa

nominoPlural uchusa

  • 1

    hali ya kununa kila wakati na bila ya sababu maalumu.

Matamshi

uchusa

/utʃusa/