Ufafanuzi wa uchuuzi katika Kiswahili

uchuuzi

nomino

  • 1

    kazi ya kuuza vitu rejareja katika duka dogo au kuvitembeza njiani, madukani au majumbani.

    biashara

Matamshi

uchuuzi

/utʃu:zi/