Ufafanuzi wa udalali katika Kiswahili

udalali

nomino

  • 1

    kazi ya kunadi vitu mnadani.

Asili

Kar

Matamshi

udalali

/udalali/