Ufafanuzi wa udamisi katika Kiswahili

udamisi

nominoPlural udamisi

  • 1

    tabia ya kuchekacheka na watu na usimuliaji wa mikasa ili kufurahisha watu.

Asili

Kar

Matamshi

udamisi

/udamisi/