Ufafanuzi wa udhalili katika Kiswahili

udhalili

nomino

  • 1

    hali ya kuwa duni, hafifu au nyonge.

Asili

Kar

Matamshi

udhalili

/uĂ°alili/