Ufafanuzi wa udhanifu katika Kiswahili

udhanifu

nominoPlural udhanifu

  • 1

    hali ya uonaji wa jambo fikirani bila ya kuwa na hakika nalo.

Asili

Kar

Matamshi

udhanifu

/uðanifu/