Ufafanuzi wa udhu katika Kiswahili

udhu

nominoPlural udhu

Kidini
  • 1

    Kidini
    hali ya kujitia tohara kwa kuosha mikono, uso, kupaka maji kichwani na kuosha miguu, agh. wakati Waislamu wanapojitayarisha kwenda kusali.

Asili

Kar

Matamshi

udhu

/uðu/