Ufafanuzi wa udiwani katika Kiswahili

udiwani

nominoPlural udiwani

  • 1

    cheo au wadhifa wa mwakilishi wa kata katika halmashauri ya mji, wilaya au jiji.

    ‘Wagombea kiti cha udiwani warudisha fomu zao’

Asili

Kar

Matamshi

udiwani

/udiwani/