Ufafanuzi wa udobi katika Kiswahili

udobi

nominoPlural udobi

  • 1

    kazi ya kufua na kupiga pasi nguo za watu kwa kulipwa.

Asili

Khi

Matamshi

udobi

/udɔbi/