Ufafanuzi wa uegeshaji katika Kiswahili

uegeshaji

nomino

  • 1

    utaratibu wa kuweka vyombo vya usafiri k.v. magari mahali pa usalama.

Matamshi

uegeshaji

/uwɛgɛ∫aʄi/