Ufafanuzi wa uelekeo katika Kiswahili

uelekeo, welekeo

nominoPlural uelekeo

 • 1

  upande unakoelekea kitu au jambo.

  upande

 • 2

  upande kitu kinakotazama au kwenda.

 • 3

  upande uliopendelewa.

Matamshi

uelekeo

/uwɛlɛkɛɔ/