Ufafanuzi wa uelewaji katika Kiswahili

uelewaji

nomino

  • 1

    hali ya kufahamu jambo.

Matamshi

uelewaji

/uwɛlɛwaʄi/