Ufafanuzi wa uelewano katika Kiswahili

uelewano

nominoPlural uelewano

  • 1

    hali ya kukaa pamoja bila kugombana.

    tangamano, changamano, ushirikiano, urafiki

Matamshi

uelewano

/uwɛlɛwanɔ/