Ufafanuzi wa uendeshaji katika Kiswahili

uendeshaji

nomino

  • 1

    tendo la kusimamia utekelezaji wa shughuli kwa kanuni zilizowekwa.

Matamshi

uendeshaji

/uwɛndɛ∫aʄi/