Ufafanuzi wa ufagiaji katika Kiswahili

ufagiaji

nominoPlural ufagiaji

  • 1

    tendo la kuondoa uchafu kwa kutumia kitu k.v. ufagio, brashi, n.k..

Matamshi

ufagiaji

/ufagijaʄi/