Ufafanuzi wa ufahamu katika Kiswahili

ufahamu

nominoPlural ufahamu

  • 1

    tendo au uwezo wa kuelewa kinachosemwa.

    uelewa

  • 2

    somo la kumpa msomaji mbinu za uelewaji na kumjaribu kama anaelewa alichokisoma.

Asili

Kar

Matamshi

ufahamu

/ufahamu/