Ufafanuzi wa ufalme katika Kiswahili

ufalme

nomino

  • 1

    utawala wa mfalme.

  • 2

    eneo ambalo liko chini ya mamlaka ya mfalme.

Asili

Kar

Matamshi

ufalme

/ufalmÉ›/