Ufafanuzi wa ufashisti katika Kiswahili

ufashisti

nomino

  • 1

    mfumo wa utawala wa siasa unaowabagua watu kwa asili zao na kuwatesa kwa sababu tu ya kutokuwemo katika kundi fulani k.v. la kabila, rangi ya ngozi au dini.

Asili

Kng

Matamshi

ufashisti

/ufa∫isti/