Ufafanuzi wa ufifilizi katika Kiswahili

ufifilizi

nomino

  • 1

    upunguaji wa nguvu, rangi au mwanga.

Matamshi

ufifilizi

/ufifilizi/