Ufafanuzi wa ufinga katika Kiswahili

ufinga

nominoPlural finga

  • 1

    mahali nje ya nyumba palipojengwa makusudi kwa ajili ya kukaa na kupumzika.

    ukumbizo

Matamshi

ufinga

/ufinga/