Ufafanuzi wa ufizi katika Kiswahili

ufizi

nomino

  • 1

    nyama inayoshikilia meno kwenye kinywa cha mtu au mnyama.

    sine, masine

Matamshi

ufizi

/ufizi/