Ufafanuzi wa ufuaji katika Kiswahili

ufuaji

nomino

  • 1

    tendo au namna ya kufua kitu k.v. nguo, vitu vya chuma, shaba, n.k..

Matamshi

ufuaji

/ufuwaŹ„i/