Ufafanuzi wa ufukufuku katika Kiswahili

ufukufuku

nomino

  • 1

    hali ya kuchokozachokoza ili kutafuta ugomvi.

Matamshi

ufukufuku

/ufukufuku/