Definition of ufumaji in Swahili

ufumaji

noun

  • 1

    tendo la kusokota kitambaa kwa kusokota nyuzi.

  • 2

    namna ya kuchoma kwa mkuki, mshale au kitu chenye ncha kali.

  • 3

    hali ya kuona kwa ghafla bila ya kutazamia.

Pronunciation

ufumaji

/ufumaŹ„i/