Ufafanuzi wa ufumbuzi katika Kiswahili

ufumbuzi

nomino

  • 1

    uelezaji wa jambo lililojificha au lisilofahamika kwa upesi.

    ufafanuzi

  • 2

    utatuzi

Matamshi

ufumbuzi

/ufumbuzi/