Ufafanuzi wa ufumwele katika Kiswahili

ufumwele

nominoPlural fumwele

  • 1

    uzi unaotoka kwenye uchane k.v. wa miyaa.

    utembo

Matamshi

ufumwele

/ufumwɛlɛ/