Ufafanuzi msingi wa ufunguo katika Kiswahili

: ufunguo1ufunguo2

ufunguo1

nominoPlural funguo, Plural ufunguo

  • 1

    kifaa kinachotumika kufungulia au kufungia kufuli au kitasa cha kabati, mlango, n.k..

  • 2

    kifaa kilichoko kwenye saa kinachotumiwa kuijaza kamani ili saa isisimame na pia kurekebishia majira na tarehe.

Matamshi

ufunguo

/ufunguwɔ/

Ufafanuzi msingi wa ufunguo katika Kiswahili

: ufunguo1ufunguo2

ufunguo2

nominoPlural funguo, Plural ufunguo

  • 1

    kielelezo au alama zilizotumika katika ramani au mchoro.

Matamshi

ufunguo

/ufunguwɔ/