Definition of ufuo in Swahili

ufuo

noun

  • 1

    shimo lichimbwalo chini ya kitanda alicholazwa maiti wakati anapooshwa kusudi maji yaingie humo shimoni.

  • 2

    mfereji mdogo unaochimbwa pembezoni mwa nyumba ili kupitishia maji, agh. ya mvua.

Pronunciation

ufuo

/ufuwɔ/