Ufafanuzi wa ufuska katika Kiswahili

ufuska

nomino

  • 1

    tabia ya uasherati na uzinzi.

    ufasiki

Asili

Kar

Matamshi

ufuska

/ufuska/