Ufafanuzi wa ufuta katika Kiswahili

ufuta

nominoPlural ufuta

  • 1

    mmea mwembamba na mrefu wenye vitumba ambavyo hupasuka na kutoa chembe ndogondogo ambazo husindikwa ili kutoa mafuta ya uto.

  • 2

    chembe zinazotokana na mmea huo.

    simsim

Asili

Kar

Matamshi

ufuta

/ufuta/