Ufafanuzi wa ufyosi katika Kiswahili

ufyosi

nominoPlural ufyosi

  • 1

    tabia ya kutoa maneno ya utani au matusi lakini yasiyoleta ugomvi.

    tadi

Matamshi

ufyosi

/ufjɔsi/