Ufafanuzi wa ugandamizaji katika Kiswahili

ugandamizaji

nomino

  • 1

    uwekaji wa uzito juu ya kitu kingine ili kibanwe.

Matamshi

ugandamizaji

/ugandamizaŹ„i/