Ufafanuzi wa ugawanyaji katika Kiswahili

ugawanyaji

nomino

  • 1

    uwekaji wa vitu au watu katika mafungu mbalimbali.

Matamshi

ugawanyaji

/ugawaɲaʄi/