Ufafanuzi wa ugege katika Kiswahili

ugege

nominoPlural ugege

  • 1

    hali ya meno kufa ganzi kutokana na kula kitu chenye ugwadu k.v. embe bichi au ukwaju.

Matamshi

ugege

/ugɛgɛ/