Ufafanuzi wa ugeuzaji katika Kiswahili

ugeuzaji, ugeuzi

nominoPlural ugeuzaji

  • 1

    ubadilishaji wa kitu kutoka hali moja hadi nyingine.

    mgeuzo

Matamshi

ugeuzaji

/ugɛwuzaʄi/