Ufafanuzi wa ugonjwa katika Kiswahili

ugonjwa

nominoPlural magonjwa

  • 1

    kitu kinachosababisha mtu, mmea au mnyama kuwa katika afya mbaya.

    maradhi, uele, ukongo

Matamshi

ugonjwa

/ugɔnjwa/