Ufafanuzi wa ugoro katika Kiswahili

ugoro

nomino

  • 1

    tumbaku iliyosagwa inayotumiwa kwa kunusa au kubwia.

Matamshi

ugoro

/ugɔrɔ/