Ufafanuzi wa ugozi katika Kiswahili

ugozi

nominoPlural ugozi

  • 1

    kipande chembamba au kidogo cha ngozi.

Matamshi

ugozi

/ugɔzi/