Ufafanuzi wa ugua katika Kiswahili

ugua

kitenzi sielekezi

  • 1

    patwa na ugonjwa; kuwa mwele.

    umwa, sakimu