Ufafanuzi msingi wa ugumu katika Kiswahili

: ugumu1ugumu2ugumu3

ugumu1

nominoPlural ugumu

  • 1

    hali ya kutokuwa laini au -ororo.

    ukavu

Matamshi

ugumu

/ugumu/

Ufafanuzi msingi wa ugumu katika Kiswahili

: ugumu1ugumu2ugumu3

ugumu2

nominoPlural ugumu

  • 1

    hali ya kutokuwa rahisi kueleweka au kufanyika.

Matamshi

ugumu

/ugumu/

Ufafanuzi msingi wa ugumu katika Kiswahili

: ugumu1ugumu2ugumu3

ugumu3

nominoPlural ugumu

Matamshi

ugumu

/ugumu/