Ufafanuzi wa ugundi katika Kiswahili

ugundi

nominoPlural ugundi

  • 1

    dawa ya kidonda inayotengenezwa kwa vumbivumbi la kumbi la nazi.

Matamshi

ugundi

/ugundi/