Ufafanuzi wa ugunduzi katika Kiswahili

ugunduzi

nomino

  • 1

    upataji wa wazo au kitu kipya au kilichofichama.

    uvumbuzi

Matamshi

ugunduzi

/ugunduzi/