Ufafanuzi wa ugwadu katika Kiswahili

ugwadu

nominoPlural ugwadu

  • 1

    mwonjo wa ukali unaopatikana katika matunda k.v. ndimu, malimau, embe bichi au ukwaju.

    uchachu

Matamshi

ugwadu

/ugwadu/