Ufafanuzi wa uhaba katika Kiswahili

uhaba

nomino

  • 1

    hali ya kutopatikana kwa wingi au kwa idadi ya kutosha.

    uchache, uchechefu, ukalili, akali

Matamshi

uhaba

/uhaba/