Ufafanuzi wa uhai katika Kiswahili

uhai

nominoPlural uhai

  • 1

    kitu kinachomwezesha kiumbe kuishi duniani kwa kuendesha shughuli zake za kiwiliwili; kinyume cha ufu.

    uzima

Asili

Kar

Matamshi

uhai

/uhaji/