Ufafanuzi wa uhamisho katika Kiswahili

uhamisho

nominoPlural uhamisho

  • 1

    tendo la kumtoa mtu toka mahali k.v. anapoishi au anapofanya kazi na kumpeleka sehemu nyingine.

Matamshi

uhamisho

/uhami∫ɔ/