Ufafanuzi wa uharamia katika Kiswahili

uharamia

nomino

  • 1

    unyang’anyi unaofanyika baharini kwa kutumia nguvu.

Matamshi

uharamia

/uharamija/