Ufafanuzi wa uharibifu katika Kiswahili

uharibifu

nominoPlural uharibifu

  • 1

    tabia au tendo la kuharibu vitu.

    maangamizi, uborongaji, ubanangaji, ufisadi

Asili

Kar

Matamshi

uharibifu

/uharibifu/