Ufafanuzi wa uhariri katika Kiswahili

uhariri

nominoPlural uhariri

  • 1

    kazi ya kusoma, kusahihisha na kusanifu miswada ya makala, vitabu, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

uhariri

/uhariri/