Ufafanuzi wa uhifadhi katika Kiswahili

uhifadhi

nominoPlural uhifadhi

  • 1

    tendo au hali ya kuweka kitu mahali fulani kwa usalama.

Asili

Kar

Matamshi

uhifadhi

/uhifaði/